Karibu kwa gwiji GIVATIPS tupige pesa pamoja.

Unapojisajili kwenye kampuni yoyote inayokuomba Promocode, andika GIVATIPS kwa herufi kubwa ili upate bonus baada tu ya kujisajili na ukaweka dau lako la kwanza.

Maswali na Majibu Kuhusu PARIPESA

  • Fungua Application halafu Click "MENU"
  • Kwa juu kulia utaona neno "Deposit"
  • Click hapo halafu chagua mtandao uliojisajilia(Kama ni Voda chagua Vodacom, Kama ni Tigo chagua Tigo, kama ni Airtel chagua Airtel etc)
  • Ingiza kiasi unachotaka kuweka halafu kuna ujumbe utatokea ukikutaka kuingiza namba ya siri, malizia kwa kuingiza namba ya siri ili kukamilisha kuweka pesa

Hakuna Video Kwa sasa

JINSI YA KUWEKA CODE YA MKEKA KWENYE APP

  1. Fungua App yako
  2. Bonyeza hicho kiduara cha katikati hapo chini kimeandikwa Bet Slip
  3. Then Click "Download Bet Slip"
  4. Then paste Code hafu click Upload

JINSI YA KUWEKA CODE YA MKEKA KAMA UNATUMIA WEBSITE

 

  1. Gusa kitufe kimeandikwa "Betslip" hapo chini katikati
  2. Hafu utaona neno limeandikwa "Go to betslip", bonyeza hapo
  3. Kisha bonyeza vidoti vitatu vipo juu kulia pembeni mwa neno mwa neno " MY BETS" 
  4. Hafu utaona neno "Load Betslip" bonyeza hapo, weka code ya mkeka wako hafu malizia kwa kubonyeza "Load Bet Slip"

  1. Fungua App hafu Click "MENU"
  2. Juu kulia utaona icon ya settings
  3. Bonyeza hapo
  4. Then chagua "withdraw"
  5. Then chagua mtandao uliojisajilia kuweza kutoa pesa
  6. Ingiza kiasi unachotoa halafu malizia kutoa pesa

Hakuna Video Kwa sasa

Unahitaji Mikeka Zaidi?

Jiunge na WhatsApp channel ya GIVATIPS kwa mikeka BURE kila siku.

GIVATIPS WhatsApp Channel Gusa Hapa